Sunday, April 24, 2011

WATANZANIA TUHESHIMU VIONGOZI WETU ILI NAO WATUHESHIMU

Siku hizi imekua ni kawaida kwa baadhi ya watu kusema au kuchora katuni mbaya juu ya viongozi wetu ambao tumewapa mamlaka ya kutuongoza na kulitumikia taifa kwa ujumla. Kufanya hivyo si vizuri kwani kunamplekea kiongozi husika kukata tamaa juu ya kuitumukia nchi yake na kuna mfanya ajiingize kwenye dimbwi la mafisadi amabao ndio wanapesa nyingi na wanazitumia pesa hizo kuwarubuni baadhi ya watu iliwawapige vita wale viongozi wapenda mandeleo ya nchi yao. Nasema hivi kwasababu hakuna hata fisadi mmoja alie wahi kuandikwa vibaya au kuchorwa vibaya kama wanavyo fanya kwa baadhi ya viongozi wale wanaoelekea kuwa chachu ya maendeleo ya nchi. Kitendo alicho fanyiwa Muheshimiwa hapo juu si cha kiungwana kabisa na inatubidi tujirekebishe ili nao waweze kututumikia vyema

No comments:

Post a Comment